Array ( [0] => homepage [1] => Indundi Cinema [2] => Movies [3] => swahili )

 

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Sururu Jaffari maarufu kama Burundiano baada yakuwa kimya kwa mda mrefu akiendelea kutengeneza Filamu ambayo ameitengeneza nchini Tanzania pia na Burundi na ameweza kushirikisha wasanii tofauti ikiwa kama JACKLINE WOLPER, HEMED SULEIMAN pia upande wa Burundi NANCY AMIE FIDEL na NZEYIMANA NASOR Maarufu kama LOLILO na filamu iyo ikapewa jina BURUNDIAN IN DAR.

Baada ya apo Indundi iliweza kumsogelea nakumuuliza nini anacho kipanga ao nini anaongea na mashabiki wake kutoka na ujio wa filamu iyo? Burundiano amesema:
“Kubwa zaidi nawapenda saana Mashabiki wangu. Pia Wasichoki kunisapoti kwa kazi nazozifanya maana siwezi kuwa BURUNDIANO BILA wao nawategemee mambo makubwa kutoka kwangu”.
Alimalizia Burundiano

Kwa upande mwengine anaonekana mwenye ndoto kubwa nayakuweza kuinuwa na kupeperusha bendera ya Burundi kimataifa kupitia Filamu.